WaPZee.CoM

KURASA ZA MWISHO 13/10/2018: Stars ilipuuza wahariri, ikapata kipigo Cape Verde?
Play Video Online
Description :
Jina la kwanza la kiungo wa Yanga SC, Kamusoko unalijua? Hebu wasikilize wahariri wanavyoona namna lilivyotia aibu kwenye magazeti huku kipigo cha Stars kinajadiliwa kila kona na wahariri wa magazeti yanayochambuliwa ndani ya Kurasa za Mwisho.
Je, Taifa Stars walipuuza ushauri wa wahariri wa magazeti?
Wasikilize wachambuzi wanachokisema ndani ya KURASA ZA MWISHO ikijadiliwa habari moja baada ya nyingine ya kimichezo namna ilivyoandikwa na faida zake kwa wasomaji na benchi la ufundi la Stars na timu za Tanzania.
Philip Cyprian anaongoza jopo la wahariri hao.
KURASA ZA MWISHO inaruka kila Jumamosi na Jumapili kuanzia saa 3:30 asubuhi kupitia AzamSports 2
Duration : 59.24
Uploaded By : Azam TV
Published : 14 Oct 2018
Views : 406
Rating : Not Enough Rating
Tags : KURASA ZA MWISHO, Wahariri wa michezo Tanzania, Soka, Thaban Kamusoko, Yanga SC, Ligi Kuu Tanzania, AfconQualifiers,

Related Videos
Taifa Stars yawasili nyumbani baada ya kipigo cha Lesotho
4:11
Taifa Stars yawasili nyumbani baada ya kipigo cha Lesotho
Views: 7,545
Published by Azam TV
Nilitamani sana kuwa bosi - Rais wa TFF katika NYUNDO YA BARUAN MUHUZA (11/10/2018)
58:07
Nilitamani sana kuwa bosi - Rais wa TFF katika NYUNDO YA BARUAN MUHUZA (11/10/2018)
Views: 4,142
Published by Azam TV
hii ndio dawa ya nguvu za kiume na ukubwa kwa wiki 1
6:07
hii ndio dawa ya nguvu za kiume na ukubwa kwa wiki 1
Views: 114,999
Published by Maumivu Yangu Na Mapenzi Yangu
MSHIKEMSHIKE VIWANJANI    -     AZAM TV 12/11/2018
22:43
MSHIKEMSHIKE VIWANJANI - AZAM TV 12/11/2018
Views: 3,283
Published by Azam TV
ITV MIZENGWE- LAKI TISA
16:56
ITV MIZENGWE- LAKI TISA
Views: 191,486
Published by ITV TANZANIA
David Kafulila: "Mimi sijutii kabisa kuhamia CCM".
29:45
David Kafulila: "Mimi sijutii kabisa kuhamia CCM".
Views: 18,108
Published by TimesFMTZ
Atosha Kissava Umwema
7:36
Atosha Kissava Umwema
Views: 725,875
Published by Chomoza TV
'Sikuwahi kukesha, wala kwenda tution nimefanya hivi mpaka kuwa wa kwanza kitaifa
3:03
'Sikuwahi kukesha, wala kwenda tution nimefanya hivi mpaka kuwa wa kwanza kitaifa
Views: 23,938
Published by Millard Ayo
KIPYENGA CHA MWISHO 15/11/2018: "Kwa uamuzi huu, waamuzi wanastahili pongezi"
55:18
KIPYENGA CHA MWISHO 15/11/2018: "Kwa uamuzi huu, waamuzi wanastahili pongezi"
Views: 977
Published by Azam TV
NYUNDO YA BARUAN MUHUZA: Manara amvaa kocha wa Yanga, asema Aussems ni 'Profesa wa football'
55:01
NYUNDO YA BARUAN MUHUZA: Manara amvaa kocha wa Yanga, asema Aussems ni 'Profesa wa football'
Views: 111,536
Published by Azam TV
KURASA ZA MWISHO: Magazeti yameitendea haki mechi ya Uganda v Taifa Stars?
56:22
KURASA ZA MWISHO: Magazeti yameitendea haki mechi ya Uganda v Taifa Stars?
Views: 258
Published by Azam TV
WILLIAM YILIMA - YESU NITIE NGUVU (Official video)
7:12
WILLIAM YILIMA - YESU NITIE NGUVU (Official video)
Views: 934,315
Published by Muhubiri Production